Bidhaa Zinazotafutwa Mtaani

Wasiliana moja kwa moja na mtafuta bidhaa ili umuuzie bidhaa yako

  • KIWANJA

    Sehemu iwe inafikika vizuri lakini pia kwa maelezo zaidi tuwasiliane

    Napatikana: Mbeya
    MBEYA
    Bei: Tsh 2,000,000 hadi
    Tsh 4,000,000
    4 months, 1 week ago
  • Prado

    Nataka prado kama iwe plan mwaka 2006 2007 na ipatikane unguja zanzibar.

    Napatikana: Magharibi A
    ZANZIBAR
    Bei: Tsh 60,000,000 hadi
    Tsh 120,000,000
    4 months, 2 weeks ago
  • Kiti Cha Ofisini

    Kiti used cha kiofisi

    Napatikana: Kisarawe
    DAR
    Bei: Tsh 45,000 hadi
    Tsh 50,000
    4 months, 2 weeks ago